Beverly na Angelo tena...

Inasemekana Mshiriki aliyewakilisha Afrika kusini katika shindano la BBA The Chase Angelo atatua nchini Nigeria hivi karibuni kumuona mpenzi wake Beverly.

Kupitia page yake ya twitter Angelo amethibitisha kutua nchini Nigeria hivi karibuni

Kila la kheri kwa wapendanao hawa!

0 Maoni:

Toa Maoni