![]() |
| Kijana Ally baada ya kujikata mikono yake |
Wiki chache zilizopita Ali alienda kwa Imam msikitini kumuomba ammalizie kukata mkono mwingine maana kashindwa kabisa kuacha wizi! "Sheikh alikataa akasema yeye hawezi kunihukumu wala hawezi kuchukua maamuzi hayo ila akashauri nimrudie mungu mwenyewe nikaamua kuikata'' amesema Ally.
Unafikiri ni uamuzi wa busara alioufanya Ally?

0 Maoni:
Toa Maoni