Huddah awawakia mapaparazi wanaotumia picha zake

Mshiriki aliyeiwakilisha Kenya katika shindano la BBA The Chase, mwanadada asiyeishiwa vituko, mrembo anayetengeneza headlines kila mara Huddah Monroe awajajia juu mtandao wa habari Kenya kwa kutumia picha zake anazopost na kutengeneza story.
 '' I really dont like how u guys just get pics off my page and write ur stories.Like seriously? @GhaflaKenya — THEE BOSS LADY (@HUDDAHMONROE)''     Aliandika Huddah.

 
Hivi karibuni Huddah ali-share picha kupitia mtandao wa Instagram zinazoonyesha anamjengea mama yake nyumba na kuandika ''all  i wanted to see was my momma happy''

Mtandao huo umemjibu Huddah kuwa kama anataka picha zake zisitumike basi asizitume watu wote wakaziona afanye kama Private.

Lakini endapo anatuma picha kwa mashabiki na yeye ni staa kwa nini ulalamike zikitumika?

0 Maoni:

Toa Maoni