PICHA: Ronaldinho amwaga mapesa kubadili meno yake

Baada ya miaka mingi  ya kukataa kurekebisha dental formula yake kwa madai anapenda meno yake ambayo ni kama utambulisho kwa mashabiki wake,hatimaye mshindi mara mbili wa FIFA 'Player of the year' 2004/2005  Ronaldinho amebadili mawazo na kufanya marekebisho.

Staa huyo wa mpira wa miguu kutoka nchini Brazil amelipa dola 58,000 kwa ajili ya marekebisho ya meno na fizi zake. 

Cheki picha kabla na baada ya marekebisho.



0 Maoni:

Toa Maoni