Pokello & Elikem: Mapenzi motomoto,watua Ghana na kupokelewa kwa kishindo

Baada ya mshiriki aliyeiwakilisha Ghana katika shindano la BBA The chase Elikem Kumordzi kwenda kutambulishwa ukweni nchini Zimbabwe na mpenzi wake na aliyekuwa mshiriki mwenzake BBA pia Pokello Nare sasa wametua nchini Ghana.
Pokello atakuwa Ghana kwa muda wa wiki tatu akifanya ziara kama ilivyokuwa kwa Elikem alipokuwa nchini kwao Zimbabwe ambapo alihudhuria party iliyoandaliwa kwa ajili yao,aliwatembelea wazazi wa Pokello na kukutana na mashabiki wake pia..mmh mapenzi sasa yamekuwa motomoto!

Cheki video ya mapokezi waliyopata walipokanyaga Ghana
                        

0 Maoni:

Toa Maoni