Ustaa Nigeria unalipa..cheki mambo haya!

Staa wa filamu kutoka Nollywood Ritha Dominic yuko shopping New York, Marekani,hii inaonyesha jinsi gani kazi wanazofanya kwenye filamu na muziki zinavyolipa na wanaishi maisha wanayostahili kuishi mastaa.

Kupitia page ya Instagram na twitter cheki Ritha alichoshare na fans wake..

Cheki mkali wa Kukere mwanamuziki Iyanya akila bata huko Atlanta na R.kelly walipokutana katika Night club.

Cheki gari aina ya  Mercedenz Benz G55 AMG alilonunua Davido siku chache zilizopita lenye thamani kubwa tu!

0 Maoni:

Toa Maoni