Baada ya kuzidisha vituko,Miley Cyrus apata ofa ya ngono!

Kampuni ya mambo ya kikubwa GameLink imempa mwanamuziki Miley Cyrus ofa ya dola milioni moja kuwa mwongozaji wa scene za ngono.

Haya ni baadhi ya yaliyomo katika barua hiyo.
"[You've] become an empowered young woman that is unapologetic about your lifestyle, especially when it comes to expressing your sexuality ... you are the ideal choice to show the world your vision as an artist in the world of adult entertainment.

"We at GameLink feel this gives you a chance to finally show the world you are not a little girl anymore and you won't bow to the pressures of the likes of Sinead O'Connor who is jealous of your success."


Game Link kupitia barua waliyomwandikia Miley siku ya jumatano wamewambia anatakiwa kuonyesha ulimwengu kuwa amekuwa na ana uwezo wa kufanya vitu vikubwa zaidi ya anavyofanya!


Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ ni kwamba Miley bado hajakubali wala kukataa ofa hiyo.

Hivi sasa Miley amekuwa hakauki kwenye vichwa vya habari kutokana vituko vyake ikianzia siku aliyomwaga razi kwenye tuzo za  MTV VMAs 2013 alipopanda jukwaani na Robin Thickle.

0 Maoni:

Toa Maoni