Tofauti na matarajio..wengi waliibuka na kumponda wakisema kuwa hatakiwi kujionyesha kama katoa sadaka kwa sababu sadaka haitangazwi tena wakafika mbali na kumwambia kaamua kujionyesha hana lolote!
Sio kila mtu atakuwa tofauti wapo waliompongeza kwa alichofanya na kusema staa anapofanya kitu kizuri na kukionyesha kwa mashabiki inawashawishi wengine kufanya mema pia.
Cheki alichoposti.
diamondplatnumz
Nishkuru sana kwa Team yangu nzima kwa kuweza kusimamia zoezi langu la Kutoa Sadaka hii ya iddul hidja kama nabii Ibrahim alivyo amrishwa siku kama ya leo.. team yangu iliyo Birundi , Mombasa , Dar_es_salaam, Zanzibar Kigoma, Rwanda na Kadharika... Mwenyez Mungu aendelee kuwalinda ili muweze kunismamia na Kuniongoza vizuri nizidi kuwa Karibu na Wananchi wangu... Ahsanteni! @wcb_wasafi for Evrything

0 Maoni:
Toa Maoni