Salamu za Eid El Haji..
Eid njema kwenu msherehekee kwa amani na familia zenu na muwakumbuke Yatima na wenye mazingira magumu maana wakati wewe unakula na kusaza kuna watu hawana hata cha kutia mdomoni.
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni