Akifunguka kwenye moja ya Interview aliyofanyiwa haya ndiyo D'banj aliyozungumza kuhusu mrembo huyo..
''Mbali na ukweli kwamba ni rafiki yangu,ni sehemu pia ya mafanikio yangu. Haiwezekani nikazungumzia story yangu na jina la Genevive lisitokee maana tumeshirikiana kwenye wimbo wangu uliofanya vizuri muda wote,,Fall in love.Kwa hiyo kama E True story watakuja Nigeria kunifanyia interview nae pia ataitwa kuelezea story yangu..ningependa kuwa na Genevive kama mke wangu,hatuwezi kusema Mungu katupangia nini maishani.Nimemsoma na kugundua kuwa yeyoye aliyenaye kama mwanamke wake ana bahati kama biblia inavyosema,Mwanaume yeyote anayetafuta mke anatafuta kitu kizuri''.
Nadhani ikitokea wakakubaliana watatengeneza combination tamu sana kama ya kina nanihii uongo? kila la kheri kwao.


0 Maoni:
Toa Maoni