Jumapili ilikuwa ni ufunguzi wa Tusker Project Fame msimu wa sita ambapo washiriki kumi na nane (18) wameingia katika shindano huku Tanzania tunawakilishwa na washiriki wawili Angel na Hisia.
Cheki watu walivyotokelezea katika red capert siku hiyo.
 |
| Kuhoto ni mshindi wa TPF Msimu uliopita Ruth Matete |
 |
| Ng'ang'alito huyu pia aliwahi kushiriki TPF |
 |
| Kulia ni mtangazaji wa Mashariki mix Sarah Hasan |
 |
| Majaji wa TPF Ian Mbugua, Juliana Kanyomozi na Hermy B |
 |
| Ma-MC wa shughuli |
 |
| Washiriki wa TPF |
 |
| Miss world Kenya 2013 |
0 Maoni:
Toa Maoni