Hatimaye Diamond awafunga midomo wazushi...

Baada ya kusambaa maneno mengi kwenye mitandao na vyombo vya habari kuhusiana na kurudiana kwa zilipendwa Wema Sepetu na Diamond na kusemekana kuwa mpenzi wa sasa wa Diamond,Penny kabwagwa hatimaye kupitia Website yake leo Diamond kafungukia rasmi ishu hiyo,Cheki alichoandika...

Kumekuwa na Uvumi na Habari nyingi sana
Mitandaoni na Kwenye Media tofauti... kwamba mimi na Mwanadada
Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu
ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu
yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram
?.
 
 
Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote?
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana
Mnapenda kuona watu wanauadui... nimuda
wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania
na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA. 
 
 
Haya sasa Diamond kamaliza kazi baada ya kufunguka watakaongea tena sasa watakuwa na mengine! na ndivyo mwanaume wa kweli anavytakiwa kufunguka anapoona vijineno vimezidi...kazi kwenu! 

0 Maoni:

Toa Maoni