Waliotoa maoni asilimia kubwa walimshauri abadilike maana ujana una mwisho huku wengine wakisema amepoteza mvuto sasa anatafuta kiki.Kilichofurahisha ni shabiki aliyejitokeza na kuitengeneza ile picha na kufunika sehemu zilizoachwa wazi! (Cheki hapo chini).
Huddah apewa makavu..ni baada ya kujianika tena!
Mwanadashosti kutoka nchini Kenya mwenye vituko vya kutosha Huddah Monroe amejikuta katika wakati mgumu alipotupia picha nyingine inayomuonesha kabinuka kitandani huku akiwa mtupu kushuka chini na kuanza kupewa makavu na waungwana waliochoshwa na kuona picha zake za utupu.
Waliotoa maoni asilimia kubwa walimshauri abadilike maana ujana una mwisho huku wengine wakisema amepoteza mvuto sasa anatafuta kiki.Kilichofurahisha ni shabiki aliyejitokeza na kuitengeneza ile picha na kufunika sehemu zilizoachwa wazi! (Cheki hapo chini).
Waliotoa maoni asilimia kubwa walimshauri abadilike maana ujana una mwisho huku wengine wakisema amepoteza mvuto sasa anatafuta kiki.Kilichofurahisha ni shabiki aliyejitokeza na kuitengeneza ile picha na kufunika sehemu zilizoachwa wazi! (Cheki hapo chini).
0 Maoni:
Toa Maoni