Kim Kardashian ashauriwa ku-act kama mama!

Dada wa mwanadada Kim Kardashian,Kourtney amezungumzia kukerwa na kitendo cha Kim kwenda Paris na Kanye West huku wakimuacha mtoto wao North.

Akizungumza na Life&Style magazine,Kourtney amesema Kim anatakiwa ku-act kama mama sasa na kuacha u-duu!

0 Maoni:

Toa Maoni