Maskini Wema..hii sasa kali!

Kutokana na kusemekana anauza sana gazeti au habari anapotokea,Wema Sepetu stori zinazomuhusu zimekuwa nyingi sana nyingine za kweli nyingine si kweli!

Katika gazeti la 'Tanuru la filamu' Wema ameandikwa katika ukurasa wa mbele kabisa kitu kilicho msikitisha kutokana na alichoandikwa kupitia mtandao wa kijamii Instagram amekopy ukurasa huo wa mbele wa gazeti na kuelezea masikitiko yake,soma hapo chini...
''Hahahahha.. haya niombeeni watanzania.... aisee... magazeti ni noumerrr... mambo ya kunyongwa tena na wakati sufuria zina shake zenyewe... dah... this made my day...'' Ameandika Wema.

 
Mapema leo kupitia account yake ya Twitter pia Wema amefunguka kuhusu hisia zake kwa magazeti ya aina hii..

0 Maoni:

Toa Maoni