Mcheki mwanaume anayejivunia muonekano wa 'kidada'

Mcheki mwanaume kutoka nchini Nigeria mwenye muonekano na pozi za  kike na mwenye kupendelea mavazi ya yanayopendwa na kina dada

 Akifungukia muonekano wake Tosin Silver ambaye ni mwigizaji na mwanafunzi wa chuo,anasema anajivunia kuwa hivyo japo watu wanamfikiria kuwa yeye ni shoga.

"Najivunia kwa jinsi nilivyo..natakiwa kujipenda jinsi nilivyo..mwanzo nilikuwa nahuzuni kiasi kuhusiana na muonekano wangu ila sasa najivunia kwa sababu ndio Mungu alivyoniumba " Amesema Tosin.

Cheki baadhi ya picha zake alizoziachia katika mapozi tofauti..

1 comment: