Mke wa Okocha apagawishwa na gari la kifahari!

Mwanasoka mkongwe kutoka Nigeria Austin 'Jay Jay' Okocha amemdondoshea birthday ya nguvu mkewe waliyedumu kwa miaka 16 Nkechi Okocha alipotimiza miaka 40.

Okocha na mke wake

Kwa mujibu wa vyanzo vya habari sherehe hiyo ya kuzaliwa ilifanyika Lagos ambapo bwana Okocha alimzawadiwa mkewe ndinga ya bei mbaya mpyaa aina ya Mercedez Benz G-Wagon SUV na kumfanya achachawe na kuanza kumpigia mumewe magoti akishukuru kwa upendo aliooneshwa!

Gari alilozawadiwa Nkechi

0 Maoni:

Toa Maoni