Mara nyingi katika filamu zetu Tanzania nimeshuhudia mtu anaigiza kama ana hali ya chini lakini mavazi na muonekano wake hauendani na kile anachokifanya! Ifike kipindi tujifunze kutoka kwa wenzetu kama Nigeria ambapo mtu anapoigiza anavaa uhusika ipasavyo.
Huyu ni mmoja wa waigizaji wa siku nyingi Nolywood,unafikiri ni nini kinamuweka kwenye chati mpaka leo? Ni uhalisia kutoka na anachokifanya..namzungumzia Mercy Johnson,hebu mcheki hapa akiwa katika matengenezo ya filamu mpya halafu jiulize wewe kama msanii unaweza hivi?



0 Maoni:
Toa Maoni