PICHA: Justin Bieber sio mtoto tena..

Mwanamuziki Justin Bieber  amethibitisha kuwa yeye sio mtoto tena kama watu wanavyomchukulia japo ana miaka 19 baada ya kuonyesha body yake mpya baada ya kupiga tizi la nguvu.'I have been working out in the gym, getting bigger, trying to get sexy for the ladies.' ('Nimekuwa nikifanya mazoezi gym,kuwa mkubwa..kujaribu kupata body itakayovutia kinadada) Ameandika Bieber.

Haya haya kazi kwenu warembo ila dizaini kama imekuwa too much kwa umri wake..mtazamo tu!

0 Maoni:

Toa Maoni