Mwimbaji huyo wa ‘Sacrifice’ aliyasema hayo wakati akijibu maswali katika kipindi cha Jimmy Kimmel Live kinachorushwa na kituo cha runinga cha ABC.
“"Yeah, we will do next May when it comes out, If the laws are gonna help us again, as a famous gay couple we will do it. It's our duty to do it to make sure everyone knows that this is something that's a gift that we never dreamed we'd ever get." Alisema Elton.
Eton John alianza kujihusisha na tabia hiyo ambayo kiafrika tunaiita ‘chafu na isiyostahili’ mwaka 1993 na patner wake anaejulikana kwa jina la David Furnish na sasa wanajiita ‘couple maarufu ya mashoga’, na sasa wana watoto wawili wa kiume!!
Tunaelekea kubaya jamani..Bado kuna matukio yanatendeka yanatufanya tuzidi kulaaniwa jamani! Msanii mkongwe mtu mzima kutangaza ndoa si majanga haya!
Cheki baadhi ya picha za Ellton akiwa na mpenzi wake David Furnish na watoto wao.
Habari kwa hisani ya Times fm tz.




0 Maoni:
Toa Maoni