Mwanamuziki Size 8 aolewa kimya kimya!

Mkali wa song la Nawapa vidonge Linet Munyali a.k.a Size 8 kutoka nchini ambaye sasa kampokea bwana yaani kaokoka Kenya amefunga ndoa kimya kimya na mwanaume anayefahamika kama Dj MO.

Kwa mujibu wa mtandao wa nchini Kenya Size 8 na Dj MO wamefunga ndoa ya kimila na ya kanisani tayari.

Akizungumzia sababu za kufunga ndoa kwa siri Size 8 amesema "Ndio nimeolewa,na kilikuwa ni kitu maalumu kwa familia na watu wa karibu sababu ndoa ni jambo la siri pia..Size 8 na Linet ni watu wawili tofauti"

Kama ulikuwa hujui Dj MO ndio aliyemtoa Size 8 kwenye nyimbo za dunia na kumingiza kwenye injili
.
Pulse is reporting that gospel singer Size 8 got married to System Unit's DJ Mo last month.
Speaking to the Standard newspaper's Friday entertainment pullout, Size 8 confirmed the two were an item, following months of speculations. They held both a traditional and church wedding.
“I am married,” Size 8 said..
“It was a very private affair that only involved my family and officiating bishops among whom was my father.”
She added that the reason for a private wedding was because she considered marriage a private affair.

“There is Size 8 and Linet and these two are different characters. My private life is just that. Marriage is a very personal and private affair,” she remarked.

Apparently, DJ Mo was key to converting Size 8 from secular to gospel. 
Congratulations to the couple.
- See more at: http://www.nairobiwire.com/2013/10/size-8-just-got-married-to-dj-mo.html#sthash.ets9CZ5h.dpuf

0 Maoni:

Toa Maoni