Kupokea keki si ajabu,ajabu ni aina ya keki aliyopewa! Hebu icheki hapo chini..lol
Pia meneja alimpatia Iyanya zawadi ya saa ya bei mbaya aina ya Rolex yenye thamani ya dola za kimarekani 25,000 huku akipokea zawadi ya perfume za bei mbaya duniani kutoka kwa mpenzi wake..zicheki kwenye picha.




0 Maoni:
Toa Maoni