Miezi sita baada ya kuanza zoezi la kunywa damu ya ng'ombe na maziwa,mwanaume huyo ameonyesha muonekano wake.
Kwa wa-Ethiopia ukubwa wa mwili au mwanaume mnene ndio swaga..Na mshindi yaani mwanaume mnene huwa anachukuliwa ni bingwa kwa maisha yake yote!









0 Maoni:
Toa Maoni