Huddah amponda Prezzo live..amwambia kafulia!

Huko katika mtandao wa kijamii wa Instagram mambo si shwari kati ya mastaa wawili kutoka nchini Kenya ambao ilidaiwa waliwahi kuwa wapenzi mrembo Huddah Monroe na rapper Prezzo.

Akiwa katika dimbwi la mahaba na mrembo  kutoka Tanzania Starlisha Tilya,Prezzo alimnadi mrembo huyo Instagram na kisha Huddah kuponda kwa kumwambia amefulia!

Cheki alichoandika Huddah!


Na huyu ndiye mrembo mpya wa Prezzo Starlisha.

0 Maoni:

Toa Maoni