Mke wa raisi wa Marekani Barack Obama, Fashionista Michelle Obama ametoboa kuwa anajutia kutinga kipensi (Cheki picha chini) alichoonekana nacho aliposhuka kwenye ndege aina ya Air Force One akiwa na mabinti zake akiwa kwenye mapumziko ya familia Arizona.
 |
| Hiki ndicho alichotinga Mrs Obama na kupokea makavu kutoka wa watu |
Michele amefunguka hayo kupitia mahojiano aliyofanya na kipindi maarufu cha televisheni cha vijana kinachoruka BET '
106 and Park' ambapo aliendelea kwa kusema kuwa ilikuwa ni mwaka 2009 na kilichomfanya ajute ni maoni na makavu aliyopokea kutoka kwa watu waliosema kama mke wa Raisi si sawa kwake kutinga aina hiyo ya vivazi!
Michelle Obama anasema hatovaa tena kipensi hadharani..anajuta lol! We unaonaje ni sawa kwa mke wa Rais kutinga hii kitu?
0 Maoni:
Toa Maoni