Kwenye picha hii hiki ndicho alichoandika.."Shhhhhh... I knw"
Huku hii ya chini akiandika "Am sexy and u knw it.. Wink*"
Haya warembo mzigo huo..unakubaliana nae kwamba jamaa mashallah? Kizuri husifia lol!
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni