Tiwa savage nae auaga ukapera..

Jumamosi staa mwingine wa muziki kutoka nchini Nigeria Tiwa savage amefunga ndoa ya kimila na aliyekuwa mchumba wake Tee Billz ambaye pia ni meneja wake


Harusi hiyo ilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa nchini humo wakiwemo wa muziki pamoja na filamu. Picha zaidi shuka nazo.

Mapambo

0 Maoni:

Toa Maoni