Mume wa mwanamuziki Tiwa Savage amuanika akiwa ndani ya bikini!

Mume wa mwanamuziki mwenye mvuto kutoka nchini Nigeria Tiwa Savage, Tee Billz ame-share picha ya mkewe kwenye mtandao akiwa ndani ya bikini tu ufukweni lakini akaifuta baada ya muda mfupi...sijui kwa nini! Ila mapaparazi walishaidaka na kuitundika kwenye blogs,icheki hapo chini.

0 Maoni:

Toa Maoni