Mwanamuziki Brandy ashambuliwa mtandaoni baada ya watu kuhisi anaidhihaki Afrika

Watu wengi kutoka sehemu tofauti Afrika wamempa makavu mwanamuziki wa siku nyingi kidogo kutoka Marekani Brandy kwa kupost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram,picha walihisi anaidhihaki Afrika kutokana na alichokiandika kwenye picha hizo.


Brandy alikuwa Abdijan,Cote d'Ivoire siku chache zilizopita kwa ajili ya kupafomu na kutuma picha hii ya kwanza aliyoipa caption ya 'Beauty' na kufanya watu kumshambulia kwa kumuuliza katika vyotee huo ndio uzuri pekee alioona au anadhihaki umaskini wa Afrika!


Baada ya kwanza alipost na hii ya pili huku akiandika "Depth'' na kuzidisha hasira za walioona post yake..cheki mwenyewe watu walivyotiririka!



0 Maoni:

Toa Maoni