Ijumaa November 29 nilifunga ndoa kwa hiyo hizi ni baadhi ya picha za tukio na mambo yalivyokwenda.
 |
| Hapa nilikuwa natoka saloon..,MAC saloon walihusika kunipendezesha |
 |
| Baada ya kufika home |
 |
| Dua ikasomwa |
 |
| Ndoa ikifungwa |
 |
| Nshakukabidhi mke..ukamtunze dada yangu ohoo si unaona alivyo mashallah? lol kaka yangu huyo aitwa Ally |
 |
| Bwana harusi akifunua kifaa chake..huyu ndio mke wangu kweli! |
 |
| Tumependeza hatujapendezaa? |
 |
| Mama kipenzi,mama mzazi..mama Maryam |
 |
| Kuitwa mama raha,naitwa mama Cole mie na huyu ndiye Cole |
 |
| Kutoka Times fm kipindi cha Hatua Tatu Edson Mkisi Jr nae ali-show love |
 |
| Shoga yangu Janeth alikuwepo pia |
 |
| Dada la dada Saida |
pendeza sana mrs ndimbo
ReplyDeleteHongereni sana. Mi nilijua nyie wakristo maana majina yenu yamekaa kikristo
ReplyDelete