Baada ya Aqdi siku ya ijumaa,jumapili tukajumuika na ndugu ,jamaa na marafiki katika Dinner & Dance Party pale Nyumbani Lounge huku shughuli ya ikiendesha na Gadner G Habash, Sandra Temu 'Sandy B' , One B Moko biashara na Ezden Jumanne 'The Rocker'..Haya shuka nayo.
 |
| MAC Saloon walifanya yao..wanaweza sana wako Sinza maeneo ya Meeda ukitokea njia ya Mlimani city ni kabla ya Meeda Ukitokea Mori ni baada ya kuipita kidogo Meeda |
 |
| Gauni My Wedding Solution waliniwezesha,wana magauni ya kisasa kwa bei nafuu pia wako Sinza Mugabe au wa-follow Instagram @myweddingsolution |
|
 |
| Nikijiandaa kushuka na kuingia ukumbini |
 |
| Dance ilihusika wakati maharusi tukiingia ukumbini |
 |
| Monalisa alifungua Champaigne |
 |
| Othman Michuzi pia alihusika kwenye ufunguaji wa champaigne |
 |
| Ezden The Rocker akifanya yake |
 |
| Muda wa maakuli |
 |
| Bwana Harusi akicheza na Hellen Mnzava |
 |
| Dj R guy akituchezesha |
 |
| Ezden na Sie |
 |
| One B 'Moko Biashara' akiwa na Monalisa |
 |
| Nikiwa na Fadhili Haule wa kipindi cha Sunrise cha Times fm |
 |
| Hellen na Ezden |
 |
| Shamimi Mlacha kutoka Mlimani radio |
 |
| Team Times fm,kutoka kulia Dj Ku,Dj Jorsy Bless,Gadner,Ezden na Moko biashara |
 |
| Mama zangu wakiwa na Cole wangu |
 |
| Natasha pia alikuwepo |
 |
| Rahabu kutoka kitengo cha Habari Times fm akiwa na mumewe Fredwaa wa kipindi cha Sunrise |
 |
| Dickson,huyu yupo kwenye upande wa Marketing |
 |
| Raymond Msoma yeye ana-deal na account |
 |
| Dj Dommy kutoka Times fm |
 |
| Omary Tambe 'Lil Ommy' prodyuza mashuhuri pale Times fm |
 |
| Dada yangu Saida |
 |
| Wanter |
 |
| Utambulisho muhimu..kaka yangu Ally akiwa na Cole |
 |
| Moko biashara na Fadhili Haule wakibeba zawadi |
 |
| Fadhil akitunza manotii |
 |
| Cole na mama yakee |
 |
| Mama mzazi |
 |
| Sandy B na bwana harusi |
Is it a coincedence au vp?Nyumbani ni Nyumbani mnaoana wenyewe kwa wenyewe au inatokea tu????sielewiiiii
ReplyDelete