Sote twajua hatari ya kansa ya matiti kwa kinamama na ndio maana unasisitizwa kujichunguza usalama wa matiti yako kila mara ili kuepuka balaa la kupatwa na janga hili.
Mwanamke huyu baada ya kukatwa matiti yake yote alipopatwa na saratani ya matiti akaamua kijfunikwa kwa tatoo kifuani kwake!!

0 Maoni:
Toa Maoni