Duh tumetoka mbali jamani,Diamond ajianika!

Tunatoka mbali sana jamani,na ni vizuri kila mtu kukumbuka alipotoka,alipo na anapokwenda na kumshukuru Mungu kwa neema zake.

Nyota wa muziki wa bongo flava Nassib Abdul Diamond ameweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram picha inayomuonesha alipokuwa mdogo mpaka alipo sasa.. cheki jamaa alivyokuwa



0 Maoni:

Toa Maoni