Banky W akumbuka zamani..

 

Uliwahi kuhisi Banky W hana nywele kichwani ndio maana ana upara?  Basi kama ulifikiria hivyo umekosea sana..Mwanamuziki huyo kutoka nchini Nigeria ame-share picha ya utotoni akiwa na mama na baba yake huku akionekana ana nywele za kutosha kichwani tofauti na style yake ya upara tuliozea.


"Times change but my eyebrows remained the same. #throwBack #tbt Me, msddg & Momma W"Don't ask me bout the hair. The wind blew it away. Hian.

0 Maoni:

Toa Maoni