Msanii wa Mwanza Hamis Ramadhan Baba Hbaba amemjia juu Ustaadh Juma akidai amemdhalilisha msanii mwenzao wa Mwanza kitendo ambacho hajakipenda.
Hbaba ni muendelezo wa wasanii na wadau mbalimbali wa muziki kuendelea kumshutumu Ustaadh Juma kwa kitendo hicho.
Tayari Meneja wa TMK Wanaume Said Fella,mkurugenzi wa Visual lab Adam Juma,msanii wa vichekesho Kitale,Isabela Mpanda na wasanii wengine kadhaa wameonesha kuchukizwa na kitendo hicho cha Ustaadh Juma na Musoma.



Ajafanya poa kabisa...! watu hawasaidiwi kwa manyanyaso huo ni ushamba @ostadhi sasa umeeka ili tuone wewe ndo wewe au .? hauna lolote navijipesa vyke . wakina manji na bahresa wanapesa kinoma noma lkni upuuzi huo wala hawanaga .... ! REST IN HELL OSTADHU NA TABIA YKO MBAYA
ReplyDelete