PICHA YA SIKU: Cole na mama yake..


Picha hizi nilipiga mwishoni mwa mwaka jana pale Jangwani Sea breeze mie na Cole wangu nikaona leo nizitupie humu...uwe na weekend njema tukutane katika kipindi cha Hatua Tatu cha Times fm 100.5 kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 6 mchana kila jumatatu mpaka ijumaa.


Nichek Instagram pia..@maryamkitosi

0 Maoni:

Toa Maoni