Mcheza sinema maarufu Lupita Nyong’o ambaye ni raia wa Kenya, usiku wa kuamkia leo
ameshinda tuzo za kifahari za Oscar huko Hollywood California.
Lupita alipata tuzo hizo kwa kuwa muigizaji msaidizi bora zaidi kwenye filamu iitwayo“12 years A Slave”.
Baada ya kupokea tuzo hilo, Lupita alitoa hotuba yenye hisia kali na kuwashukuru wote waliomwezesha kushinda tuzo hilo la Oscar..isikie hapo chini.
Hizi ni baadhi ya picha za waliohudhuria tuzo hizo..
 |
| Lupita mwenywe aling'aa.. |
 |
| Angelina Jolie |
 |
| Uzee mwisho Chalinze lol! |
 |
| Lady Gaga...hapa kidogo nimsahau dada yenu! |
 |
| Willy Smith na Jada |
 |
| Pharel sasa.. |
0 Maoni:
Toa Maoni