Davido ametumia ukurasa wake wa twitter kujibu tuhuma hizo na kusema hana mpenzi (yaaani yuko singo) na hatarajii kupata mtoto kutoka kwa mtu yeyeto!
Davido afungukia tetesi za kumdunga ujauzito binti wa 'kisauzi'!
Baada ya kusambaa picha ya Davido na binti waki-share kiss aliyo-post mwenyewe instagram na kuifuta haraka na tetesi kusambaa kwa kasi kuwa binti aliyepiga nae picha ni modo wa kiafrika kusini na tayari wamepeana ujauzito.
Davido ametumia ukurasa wake wa twitter kujibu tuhuma hizo na kusema hana mpenzi (yaaani yuko singo) na hatarajii kupata mtoto kutoka kwa mtu yeyeto!
Davido ametumia ukurasa wake wa twitter kujibu tuhuma hizo na kusema hana mpenzi (yaaani yuko singo) na hatarajii kupata mtoto kutoka kwa mtu yeyeto!

0 Maoni:
Toa Maoni