Huddah na Milley Cyrus wazidi kujitoa fahamu! Ni nini hiki?


Mwanamuziki Miley Cyrus ameonyesha jinsi gani anazidi kudata kutokana na vitendo aina ya uchezaji anaofanya akiwa jukwaani! Hii imejidhihirisha february 14 huko nchini Canada alipotumbuiza na hiki ndicho alichokifanya alipokuwa jukwaani!


Wakati Miley akionyesha uchakaramu wake,mwanadada kutoka nchini Kenya Huddah Monroe naye amejianika katika mtandao wa Instagram akiwa mtupuu kabisa tena bila hata kujali!


Kwani nini kimewapa kinadada wa karne hii? tusaidiane jamani!


0 Maoni:

Toa Maoni