Staa anapotupia picha tata mtandaoni na kuifuta haraka!

Pale staa anapotupitia picha katika mtandao wa kijamii na kugundua kuwa picha aliopost sio na kuifuta haraka lakini wadakuz wanakuwa washaidaka lol! Ndicho kilichomkuta mwanamuziki wa nchini Nigeria, Davido alipo-post picha Instagram  inayomuonyesha aki-share kiss na mwanadada ambaye hakufahamika kisha akaifuta haraka haha!

0 Maoni:

Toa Maoni