Kim Kardashian na michakato ya kutoa michirizi mwilini!


Mara nyingi bidada huyu amekuwa akikwepa kuwa amekuwa akifanyiwa surgery lakini ukweli ni kwamba amekuwa akijitahidi kufanya maboresho ya mwili wake mara kwa mara.

Katika episode iliyopita ya Keeping Up With The Kardashians Kim na rafiki yake Jonathan Cheban walienda kwa mtaalamu wa surgery Dr.Simon Ourian ambapo alipata huduma ya kuondoa michirizi (strech marks) kwenye matiti yake.

0 Maoni:

Toa Maoni