Mwalimu wa lugha ya Kingereza wa shule iliyoko Florida, Marekani amejikuta katika wakati mgumu na kusimamishwa kazi baada ya kuwapa wanafunzi wa grade eight ‘homework’ ya kuyapigia msitari maneno yanayotumika kufananisha vitu ‘figurative language’ kutoka kwenye wimbo wa Lil Wayne ‘6 Foot 7 Foot’, ambayo ina maneno machafu (uncensored).
WPTV iliripoti kuwa mwalimu huyo alisimamishwa kazi kwa muda wa siku
tatu na utawala wa shule hiyo baada ya wazazi wa watoto hao kulalamika
kuwa hata wao walipokuwa wakiyasoma maneno yaliyokuwa kwenye kazi
aliyoitoa mwalimu huyo hawakuwa katika hali nzuri kuendelea kuyasoma.
“This is crazy. They shouldn't be giving this to kids in school...
I'm uncomfortable reading any of this... They shouldn't be teaching this
stuff in school for language arts. I mean, who in their right mind
would give kids something like this?" Alilalamika mmoja kati ya wazazi.
Mwalimu mkuu wa shule hiyo alitoa tamko baada ya kusikia habari
hiyo, na kuutarifu umma kuwa mwalimu huyo alitoa assignment hiyo kwa
kuwa watoto walikuwa wanapata wakati mgumu kushika maneno ya mfananisho
kama ‘Smile’, ‘Metaphor’ na mengine. Na hivyo akatoa assignment hiyo
ambayo amekiri haikuwa sahihi kuwapa watoto hao mashairi ya wimbo wa Lil
Wayne na ilikuwa kinyume cha taratibu za shule hiyo.
‘6 Foot 7 Foot’ ni wimbo wa Lil Wayne unaopatikana kwenye album yake
ya ‘Tha Carter IV’ iliyotoka mwaka 2011 na kufanikiwa kushika nafasi ya
kwanza kwenye Billboard 200.
Haya ni baadhi ya mashairi yanayopatikana kwenye wimbo huo.
"Two b**ches at the same time, synchronized swimmers/ Got the girl
twisted cause she open when you twist her/ Never met the b**ch, but I
f**k her like I missed her."
Habari kwa hisani ya tovuti ya Times fm.


0 Maoni:
Toa Maoni