Mashauzi ya 50 Cent sijui ni utoto,ulimbukeni au nini!
Rapper 50 cent ame-share picha inayomuonyesha akiwa sehemu ya kupata msosi huku sahani yake ikiwa imejaa mapesa (dollar) na kuonyesha kama anakula pesa hivi..hivi ni utoto,ulimbukeni au nini? Tusaidiane..



0 Maoni:
Toa Maoni