Tumekuwa tukikutana na mabinti wanaojichubua, wengine huko majuu wenye pesa zao wamekuwa wakifanya plastic surgery ili kutengeneza uzuri wao zaidi kifupi wanawake wamekuwa na aina nyingi za kujibadili muonekano pale wanaposhindwa kujitambua na kujiamini kuwa ni warembo. Mmoja wa aina hiyo wa wanawake ni Mama kijacho wetu yaani Lil Kim..
Nakupa nafasi ya kuchek picha tofauti za rapper huyo kuanzia mwaka 2009 alipoanza kujibadilibadili uso wake kama kinyonga.
Mwanamuziki Fergie nae hayuko nyuma.
Nick Minaj..
Joan River
Mama North nae yumo..
Miley Cyrus nae alifanyia ukarabati pua yake pua yake
Adele nae pua ilitengenezwa
Rihana nae pua ilifanyiwa mandingo...
0 Maoni:
Toa Maoni