Wizkid adhihirisha ushawishi wake Nigeria!


Pamoja na umri mdogo aliokuwa nao, tayari mafanikio yamechukuwa nafasi kubwa kwake,namzungumzia Wizkid ambaye sasa anadhihirisha ni mmoja kati ya mastaa wenye ushawishi nchini Nigeria kwenye mitandao ya kijamii haswa Twitter akiwa amefuatwa na watu milioni moja mpaka sasa.


Kwenye Instagram pia anaongoza pia akiwa na zaidi na followers zaidi ya 150,000 akifatiwa na 2face Idibia mwenye followers 140,000+ kisha Davido akiwa na followers 106,000+ halafu Genevieve 97,000+


Kwenye facebook mwanadada mwenye mvuto Omotola Jalade akiwa anaongoza kwa kuwa likes zaidi ya milioni moja

0 Maoni:

Toa Maoni