Kwa mujibu wa Us Weekly, tarehe 24 May itakuwa ni jumamosi lakini wageni waalikwa wataanza kufika kabla ya siku hiyo.
Kim aliwahi kusema kuwa wana mpango wa kufanya harusi ya kawaida tu lakini nzuri tofauti na inavyoripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari.
'We're having a super, super small, intimate wedding.As we go along, we're realizing we want it to be smaller and more intimate than people are imagining and thinking.'Na hii ndio venue waliiyopendekeza kwa ajili ya harusi yao.


0 Maoni:
Toa Maoni