Huku akiwa hana hofu wala kujali maoni ya mashabiki,Wema alitupia picha nyingi tu zinazomuonyesha katika muonekano huo mpya
Maoni na mitazamo pia ilikuwa tofauti kutoka kwa mashabiki...Wewe kwa upande wako unaonaje Hot or Not?
Ni Mtangazaji, Mwandishi, Blogger na Mama wa mtoto mmoja. Karibu katika kijiwe cha habari motomoto, burudani na udaku.
0 Maoni:
Toa Maoni