Wawili hawa ambao waligeuka gumzo baada ya kuonyesha mahaba live walipo-share kiss jukwaani kwenye tamasha la Gidi Culture lililofanyika March 02 Lagos wamesogeza mbele harusi hiyo ambayo mwanzo ilipangwa kufanyika February...habari za chini chini zinasema itakuwa ni harusi ya kufunga mwaka kwa mastaa! Kila la heri kwao.
Cheki picha za jinsi walivyojiachia jukwaani.





0 Maoni:
Toa Maoni