Peter wa P Square aonyesha 'baby' wake mpyaa ni wa bei mbaya!


Peter Okoye wa P-Square ame-share picha ya mkoko wake mpya na wa bei mbaya aina 2014 Bentley GT  huku mwenyewe akiutambulisha kama 'baby wake mpya' huku thamani yake ikitajwa ni zaidi ya Naira milioni 30.

Cheki alichooandika na picha za gari hilo;

0 Maoni:

Toa Maoni