Floyd MayWeather 'amlipua' mchumba wake live mtandaoni kuwa alichoropoa mimba kisa wivu!

 
Mwanamasumbwi mkali kutoka majuu Floyd Mayweather 'amem lipua' live mtandaoni aliyekuwa mchumba wake Shantel Jackson kuwa sababu hasa ya kuachana kwao ni kuwa mwanadada huyo alichoropoa mimba ya watoto mapacha huku ikidaiwa kisa cha Floyd kufunguka hivyo ni wivu!

Shantel ali-post picha Instagram akiwa na rapa Nelly na kumuita ni rafiki wa kweli huku kukiwa na tetesi kuwa ni wapenzi japo Nelly amekanusha hilo.Muda mfupi baadae Bingwa huyo wa masumbwi nae akaibuka

akiwa ame-post picha ya Ultra Sound yenye jina la Shantel akimshutumu kwa kutoa mimba ya mapacha kitu kilichotafsiriwa ni wivu unamsumbua!

Baada ya muda mfupi MayWeather aliifuta picha hiyo lakini wajuzi wa mambo walishaidaka..kweli wivu kidonda na ukishiriki utakonda lol!

Hii ndio picha aliopost Shantel instagram akiwa na Nelly
Na hiki ndicho alichopost Mayweather

0 Maoni:

Toa Maoni